Aunt Ezekiel "Gwantwa" alizaliwa mwaka 1988 mkoani Dar es salaam, baba yake alikuwa akijulikana kama Ezekiel Grayson 'Jujuman' ambaye alikuwa ni mchezaji hodari sana wa timu ya simba.
Aunt Ezekiel alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Bunge mwaka 1993 hadi 1998 ambapo alienda kumalizia darasa la saba katika shule ya msingi Chanzige iliyopo Kisarawe. Aunt alisoma sekondari katika shule ya sekondari Kawawa iliyopo huko Iringa kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha pili, na kumalizia kidato cha nne katika shule ya Makongo mwaka 2004. Baada ya kumaliza sekondari alijiunga na mambo ya computer Amana, na baadaye aliamua kushiriki mambo ya urembo ambapo alifanikiwa kuwa miss Mwanza mwaka 2006. Filamu yake ya kwanza kushiriki ilikuwa ni Miss Bongo iliyokuwa ya William Mtitu.
Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel akiwa na Aisha Bui siku ya birthday yake October mwaka 2009
Aunt Ezekiel akiwa na Wema Sepetu
Aunt Ezekiel (kushoto) akiwa na Nesh (kulia)
Aunt Ezekiel (kushoto) akiwa na Jacqueline Wolper (kulia)
Aunt Ezekiel (kulia) akiwa na Wema Sepetu (katikati)
Kutoka kushoto: Aunt Ezekiel, Vicent Kigosi a.k.a Ray, Wema Sepetu, Hartman Mbilinyi na Steve Mangele a.k.a Steve Nyerere
Aunt Ezekiel (kushoto) akiwa na wasanii wenzake, Wema Sepetu (katikati) na Shilole (kulia)
Aunt Ezekiel (kushoto) akiwa na msanii mwenzake Jacqueline Wolper (katikati)
Aunt Ezekiel akiwa na msanii mwenzake Elizabeth Domisian
Aunt Ezekiel akiwa na dada yake Zawadi Ezekiel
Aunt Ezekiel akiwa na dada yake Zawadi Ezekiel wa katikati pamoja na Mayasa Mrisho "Maya" siku ya send off ya dada yake huyo mwaka 2010.
Aunt Ezekiel akiwa na Penny
Aunt Ezekiel akiwa na mume wake Sunday Demonte siku ya harusi yao iliyofanyika huko Dubai November 2012.