Msanii wa wiki

Msanii wa wiki
Msanii wa wiki - Aunt Ezekiel

Tangazo

Tangazo 2

Thursday, August 8, 2013

Mjue Msanii wako - Ommy Dimpoz



Ommy Dimpoz



Ommy Dimpoz ni msanii wa kizazi kipya (Bongo fleva). Jina lake kamili ni Omary Faraji Nyembo. Kabila yake ni Mmanyema wa Kigoma. Ommy Dimpoz amezaliwa mwaka 1987 jijini Dar es salaam. Amesoma katika shule ya Mbezi High School na kumaliza kidato cha nne mnamo mwaka 2008. Baadaye alijiunga na chuo cha IFM kusomea Business Administration katika ngazi ya cheti.




Ommy Dimpoz





Ommy Dimpoz (kulia) akiwa na msanii mwenzake Diamond Platinumz (kushoto).





Ommy Dimpoz (kulia) akiwa na msanii mwenzake Diamond Platnumz (kushoto).






Msanii Ommy Dimpoz akiwa ameshikilia moja ya tuzo zake na Vanessa Mdee aliyopata kwenye Kilimanjaro Music Awards June 2013 Mlimani City jijini Dar es salaam. Kushoto ni Wema Sepetu ambaye alimkabidhi tuzo hiyo.





Ommy Dimpoz akiwa na msanii mwenzake Ali Kiba.






Ommy Dimpoz (katikati) akiwa na Ali Kiba (kushoto) na Dj Choka (kulia)





Sporah show - Ommy Dimpoz & Ali Kiba







Ommy Dimpoz ft J Martins - Tupogo







Ommy Dimpoz ft Ali Kiba - Nai nai







Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me and You.




No comments:

Post a Comment