Msanii H. Baba na mke wake Flora Mvungi ambaye pia ni msanii wa Bongo movies wame barikiwa kupata mtoto wa kike ambaye wamempa jina la Tanzanite.
Mtoto Tanzanite
Mtoto Tanzanite
Msanii Hamis Ramadhan a.k.a H. Baba akiwa na mke wake Flora Mvungi hospitalini mara baada ya kujifungua mtoto Tanzanite
No comments:
Post a Comment