Msanii wa wiki

Msanii wa wiki
Msanii wa wiki - Aunt Ezekiel

Tangazo

Tangazo 2

Thursday, January 23, 2014

Mjue Msanii wako - JB










Jacob Steven maarufu kama JB ni msanii nguli wa filamu Bongo. JB alisoma shule ya msingi Forodhani, alikohitimu mwaka 1984 na baadaye kujiunga na Sekondari ya Popatlal ya Tanga hadi mwaka 1988 na baadaye kidato cha tano na sita ambapo alisomea masomo ya Uchumi na Biashara.




Jacob Steven a.k.a JB






Jacob Steven a.k.a JB akiwa na mke wake







Jacob Steven (JB) akiwa na wasanii wenzake, Vicent Kigosi a.k.a Ray (kushoto) na Suzan Lewis a.k.a Natasha (katikati)







Msanii Jacob Steven a.k.a JB akisherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa




















No comments:

Post a Comment