Mahsein Awadhi maarufu kama Dr. Cheni ni msanii nguli wa filamu Bongo. Dr. Cheni amezaliwa katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es salaam. Amesoma katika shule ya msingi Msimbazi kisha Sekondari katika shule ya Jabal iliyopo Morogoro ambapo aliishia kidato cha pili na kurudi Dar na kuhitimu masomo yake katika sekondari ya Msimbazi. Mwaka 1997 alijiunga na chuo cha kukuza vipaji cha Splendid kilichopo Ilala, Dar.
Dr. Cheni ameoa na ana watoto. Dr. Cheni amefanya filamu nyingi sana kama vile, too late, why me na one by one.
Dr. Cheni
Dr. Cheni
Dr. Cheni
Dr. Cheni
Dr. Cheni akiwa na mke wake Sabrina
Dr. Cheni akiwa na Masele
Dr. Cheni akiwa na wasanii wenzake, JB (katikati) na Cloud (kulia)
Dr. Cheni akiwa na msanii mwenzake Elizabeth Michael a.k.a Lulu
Dr. Cheni (wa pili kushoto) akiwa na wasanii wenzake na washika dau wa filamu
Dr. Cheni na Sauda Mwilima
Dr. Cheni akiwa na msanii mwenzake Elizabeth Michael a.k.a Lulu
Dr. Cheni akiwa na msanii mwenzake JB pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Dr. Cheni akiwa na wasanii wenzake, Vicent Kigosi a.k.a Ray, Ben Kinyaiya na Steve Nyerere
Dr. Cheni akiwa na wasanii wenzake
Dr. Cheni akiwa na msanii wa Bongo movie Vicent Kigosi a.k.a Ray The Greatest (Katikati) na Chidi Benz (kulia)
Dr. Cheni akiwa na wasanii wenzake
No comments:
Post a Comment