Msanii wa wiki

Msanii wa wiki
Msanii wa wiki - Aunt Ezekiel

Tangazo

Tangazo 2

Friday, August 16, 2013

Mjue msanii wako - Wema Sepetu





Wema Sepetu ni msanii wa Bongo movies pia ni miss Tanzania wa mwaka 2006. Aliiwakilisha Tanzania kwenye miss world huko Poland mwaka 2006.

Wema Sepetu amezaliwa mwaka 1988, kabila yake ni Mnyamwezi wa Tabora.

Wema alipata elimu yake ya primary na secondary katika shule ya Academic International ya jijini Dar es salaam. Pia amesoma kwenye chuo cha Limkokwing kilichopo huko nchini Malaysia.



Wema Sepetu





Wema Sepetu







Wema Sepetu







Wema Sepetu







Wema Sepetu akiwa na msanii mwenzake wa Bongo Movie Jackline Wolper.







Wema Sepetu akitembelea kituo cha watoto Yatima huko Arusha, 2012.
Wema akiwasili kituoni hapo







Wema Sepetu akiwa amempakata mtoto yatima katika kituo hicho cha kulelea watoto yatima jijini Arusha.





Wema Sepetu akiwa na mmojawapo wa watoto yatima katika kituo hicho.





Wema Sepetu katika Mkasi



Saturday, August 10, 2013

Mjue Msanii wako - Naseeb Abdul "Diamond"



Msanii wa Bongo fleva, Naseeb Abdul 'Diamond' akiwa kwenye shoo ya Big Brother Africa huko Johannesburg, Africa ya kusini May, 2012.






Diamond Platinumz






Diamond akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha nchini Comoro.






Diamond akipokelewa nchini Comoro, June 2013





Diamond akipokelewa nchini Comoro, June 2013





Msanii Diamond alipotembelea BBC - UK, 2011.




























Diamond akiwa na familia yake nyumbani







































































































Diamond akiwa na msanii mwenzake Chid Benz.





Diamond akiwa na msanii mwenzake Chid Benz.





Diamond (kulia) akiwa na mama yake katikati pamoja na rafiki.






Diamond akiwa na wasafi crew katika moja ya safari zao





Diamond akiwa amewasili Washington DC pamoja na wasafi crew





Diamond akiwa amewasili Washington DC pamoja na wasafi crew





My Number One - Diamond





Diamond Feat Davido - Number One Remix





Mbagala - Diamond






Mawazo - Diamond






Nataka Kulewa - Diamond








INTERVIEWS ZA DIAMOND




























Thursday, August 8, 2013

Mjue Msanii wako - Ommy Dimpoz



Ommy Dimpoz



Ommy Dimpoz ni msanii wa kizazi kipya (Bongo fleva). Jina lake kamili ni Omary Faraji Nyembo. Kabila yake ni Mmanyema wa Kigoma. Ommy Dimpoz amezaliwa mwaka 1987 jijini Dar es salaam. Amesoma katika shule ya Mbezi High School na kumaliza kidato cha nne mnamo mwaka 2008. Baadaye alijiunga na chuo cha IFM kusomea Business Administration katika ngazi ya cheti.




Ommy Dimpoz





Ommy Dimpoz (kulia) akiwa na msanii mwenzake Diamond Platinumz (kushoto).





Ommy Dimpoz (kulia) akiwa na msanii mwenzake Diamond Platnumz (kushoto).






Msanii Ommy Dimpoz akiwa ameshikilia moja ya tuzo zake na Vanessa Mdee aliyopata kwenye Kilimanjaro Music Awards June 2013 Mlimani City jijini Dar es salaam. Kushoto ni Wema Sepetu ambaye alimkabidhi tuzo hiyo.





Ommy Dimpoz akiwa na msanii mwenzake Ali Kiba.






Ommy Dimpoz (katikati) akiwa na Ali Kiba (kushoto) na Dj Choka (kulia)





Sporah show - Ommy Dimpoz & Ali Kiba







Ommy Dimpoz ft J Martins - Tupogo







Ommy Dimpoz ft Ali Kiba - Nai nai







Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee - Me and You.




Wasanii wa Bongo na shughuli zao katika Jamii - Wasanii wa Bongo Movies walipotembelea Hospitali ya Bombo Jijini Tanga na kutoa msaada wa vyandarua



Mnamo tarehe 30 June mwaka 2012, Wasanii wa Bongo Movies wakiongozwa na mwenyekiti wao wa wakati huo Jackob Steven "JB" walitembelea hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga na kujionea hali halisi ya uhaba wa vyandarua katika baadhi ya wodi na kukabidhi msaada wa vyandarua kwa hisani ya kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Grand Malt ambao ni wadhamini wakuu wa Tamasha la Filamu za Tanzania (Bongo Movie) lililozinduliwa June 30, 2012 kwenye viwanja wa Tangamano jijini Tanga. Walikabidhi msaada huo wa vyandarua ikiwa ni sehemu ya kupiga vita ugonjwa wa malaria unaopoteza maisha ya watanzania wengi katika maeneo mbalimbali nchini.



Mwenyekiti wa wasanii wa Bongo Movie wa wakati huo Jacob Steven "JB" akikabidhi msaada wa vyandarua kwa muuguzi msaidizi wa Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga ambaye pia ni mwakilishi wa hospitali hiyo Bi Halima Msengi (kushoto).




Wasanii wa Bongo Movie wakiongozwa na mwenyekiti wao wa wakati huo Jacob Steven "JB" wakiwa kwenye picha ya pamoja na Muuguzi Msaidizi wa Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga Bi Halima Msengi.



Msanii wa Bongo Movie, Mayasa Mrisho anayejulikana kama "Maya" akikabidhi chandarua kwa mmoja wa wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali ya Bombo, Tanga.



Wasanii wa Bongo Movie wakiwa wamezunguka kitanda cha mmoja wa kinamama ambaye amejifungua watoto mapacha katika wodi ya wazazi hospitali ya Bombo jijini Tanga.



Wasanii wa Bongo Movie wakisaidia kufunga chandarua katika kitanda cha mmoja wa wagonjwa katika hospitali ya Bombo jijini Tanga.