Wema Sepetu ni msanii wa Bongo movies pia ni miss Tanzania wa mwaka 2006. Aliiwakilisha Tanzania kwenye miss world huko Poland mwaka 2006.
Wema Sepetu amezaliwa mwaka 1988, kabila yake ni Mnyamwezi wa Tabora.
Wema alipata elimu yake ya primary na secondary katika shule ya Academic International ya jijini Dar es salaam. Pia amesoma kwenye chuo cha Limkokwing kilichopo huko nchini Malaysia.
Wema Sepetu
Wema Sepetu
Wema Sepetu
Wema Sepetu
Wema Sepetu akiwa na msanii mwenzake wa Bongo Movie Jackline Wolper.
Wema Sepetu akitembelea kituo cha watoto Yatima huko Arusha, 2012.
Wema akiwasili kituoni hapo
Wema Sepetu akiwa amempakata mtoto yatima katika kituo hicho cha kulelea watoto yatima jijini Arusha.
Wema Sepetu akiwa na mmojawapo wa watoto yatima katika kituo hicho.
Wema Sepetu katika Mkasi
No comments:
Post a Comment