Jacquiline Wolper ni msanii wa Bongo movies. Alianza kuigiza Bongo movies mnamo mwanzoni mwa mwaka 2007. Jacquiline Wolper amezaliwa mwezi wa 9 mwaka 1988 Moshi, Tanzania. Amepata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Mawenzi huko Moshi na baadaye aliendelea na elimu ya sekondari katika shule za Magrath, Ekenywa na Masai. Jacquiline amesoma pia kozi ya kiingereza ICC Arusha na masomo ya Biashara.
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper (kulia) na Jokate Mwegelo (kushoto)
Jacqueline Wolper (kulia) akiwa na msanii mwenzake Irene Uwoya (kushoto)
Jacqueline Wolper (katikati) akiwa na wasanii wenzake, Jenifa Kyaka a.k.a Odama (kushoto) na Vicent Kigosi a.k.a Ray (kulia)
Jacqueline Wolper akiwa na Jenifa Kyaka a.k.a Odama
Jacqueline Wolper akiwa na Isha Ramadhani (Isha Mashauzi)
Jacqueline Wolper akiwa na Muheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper akiwa na Muheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Jacqueline Wolper
Jacqueline Wolper
JACQUELINE WOLPER KWENYE MKASI
No comments:
Post a Comment