Vanessa Mdee a.k.a Vee, ni msanii wa bongo fleva. Vanessa alizaliwa Tanzania mnamo tarehe 7 mwezi wa 6 mwaka 1988. Akiwa mdogo Vanessa alisafiri na kukulia katika sehemu mbalimbali kama New York, Paris, Nairobi na Arusha. Vanessa amesomea masomo ya sheria katika chuo cha Catholic University of Eastern Africa kilichopo nchini Kenya.
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee na Feza Kessy
Vanessa Mdee akiwa na mwanamuziki Akon
Vanessa Mdee akiwa na mwanamuziki Akon pamoja na vijana wengine
Vanessa Mdee na Martin Kadinda
Vanessa Mdee na CPWAA
Vanessa Mdee akiwa na mwanamuziki wa Marekani Kelly Rowland
Vanessa Mdee na Linah Sanga
Vanessa Mdee na B12
Vanessa Mdee katika Mkasi
Vanessa Mdee Akihojiwa
a
Vanessa Mdee - Closer
No comments:
Post a Comment