Zuwena Mohamed ambaye ni maarufu sana kwa jina lake la uigizaji Shilole ni muigizaji wa Bongo movies na ni msanii wa muziki wa mduara. Shilole ni mama wa watoto wawili. Kwasasa Shilole anatamba sana na vibao vyake kama Nakomaa na Jiji, Paka la Baa n.k.
Shilole akiwa na Masanja Mkandamizaji walivyokuwa Marekani
No comments:
Post a Comment