Msanii wa wiki

Msanii wa wiki
Msanii wa wiki - Aunt Ezekiel

Tangazo

Tangazo 2

Wednesday, September 18, 2013

Msanii Flora Mvungi ajifungua mtoto wa kike






Msanii H. Baba na mke wake Flora Mvungi ambaye pia ni msanii wa Bongo movies wame barikiwa kupata mtoto wa kike ambaye wamempa jina la Tanzanite.





Mtoto Tanzanite





Mtoto Tanzanite





Msanii Hamis Ramadhan a.k.a H. Baba akiwa na mke wake Flora Mvungi hospitalini mara baada ya kujifungua mtoto Tanzanite 


Saturday, September 14, 2013

Mjue Msanii wako - Aunt Ezekiel







Aunt Ezekiel "Gwantwa" alizaliwa mwaka 1988 mkoani Dar es salaam, baba yake alikuwa akijulikana kama Ezekiel Grayson 'Jujuman' ambaye alikuwa ni mchezaji hodari sana wa timu ya simba.

Aunt Ezekiel alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Bunge mwaka 1993 hadi 1998 ambapo alienda kumalizia darasa la saba katika shule ya msingi Chanzige iliyopo Kisarawe. Aunt alisoma sekondari katika shule ya sekondari Kawawa iliyopo huko Iringa kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha pili, na kumalizia kidato cha nne katika shule ya Makongo mwaka 2004. Baada ya kumaliza sekondari alijiunga na mambo ya computer Amana, na baadaye aliamua kushiriki mambo ya urembo ambapo alifanikiwa kuwa miss Mwanza mwaka 2006. Filamu yake ya kwanza kushiriki ilikuwa ni Miss Bongo iliyokuwa ya William Mtitu.


Aunt Ezekiel






Aunt Ezekiel





Aunt Ezekiel







Aunt Ezekiel





Aunt Ezekiel






Aunt Ezekiel







Aunt Ezekiel akiwa na Aisha Bui siku ya birthday yake October mwaka 2009





Aunt Ezekiel akiwa na Wema Sepetu





Aunt Ezekiel (kushoto) akiwa na Nesh (kulia)





Aunt Ezekiel (kushoto) akiwa na Jacqueline Wolper (kulia)





Aunt Ezekiel (kulia) akiwa na Wema Sepetu (katikati)





Kutoka kushoto: Aunt Ezekiel, Vicent Kigosi a.k.a Ray, Wema Sepetu, Hartman Mbilinyi na Steve Mangele a.k.a Steve Nyerere





Aunt Ezekiel (kushoto) akiwa na wasanii wenzake, Wema Sepetu (katikati) na Shilole (kulia)





Aunt Ezekiel (kushoto) akiwa na msanii mwenzake Jacqueline Wolper (katikati)





Aunt Ezekiel akiwa na msanii mwenzake Elizabeth Domisian





Aunt Ezekiel akiwa na dada yake Zawadi Ezekiel






Aunt Ezekiel akiwa na dada yake Zawadi Ezekiel wa katikati pamoja na Mayasa Mrisho "Maya" siku ya send off ya dada yake huyo mwaka 2010.






Aunt Ezekiel akiwa na Penny






Aunt Ezekiel akiwa na mume wake Sunday Demonte siku ya harusi yao iliyofanyika huko Dubai November 2012.