Msanii wa wiki

Msanii wa wiki
Msanii wa wiki - Aunt Ezekiel

Tangazo

Tangazo 2

Friday, August 8, 2014

Mjue Msanii Wako - Sarah Kaisi

































































Sarah Kaisi a.k.a akiwa na Producer maarufu nchini Joachim Kimaryo a.k.a Master J




Mjue Msanii Wako - Ambwene Yesaya (AY)













Ambwene Yesaya ni mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye anajulikana zaidi kwa jina la muziki kama AY. AY pia anajulikana kwa jina la Mzee wa Commercial.


AY alizaliwa mnamo tarehe 5, July, mwaka 1981 huko Mtwara. Inasemekana kuwa AY alianza muziki akiwa ni kijana mdogo wa miaka 10 tu.


Mwaka 1996 akiwa bado anasoma sekondari, AY akiwa na marafiki zake wawili waliunda kundi la muziki lililojulikana kama S.O.G na walitoa albam yao ya kwanza mwaka 2000.


AY pia alikuwa ni mmojawapo wa member wa kundi la East Coast alilojiunga nalo baada ya kutoka S.O.G



 AY aliamua kuanza kuimba akiwa mwanamuziki wa kujitegemea bila ya kuwepo kwenye kundi lolote (solo artist) mnamo mwaka 2002. 


AY ameshatoa albam kadhaa zikiwemo Raha Kamili na Hisia Zangu.
























AY akiwa na rafiki yake na mwanamuziki mwenzake Hamisi Mwinjuma (Mwana Fa)






AY akiwa na P-Square








AY akipokea mojawapo ya tuzo alizowahi kupata kwenye Kili Tanzania Music Awards







AY akiwa na tuzo yake ya Channel O aliyoipata nchini Africa Kusini November 2012.






AY akiwa na mojawapo ya tuzo zake enzi hizo







Harusi za wasanii Bongo - Pastor Emmanuel Myamba















Muigizaji wa filamu za Kibongo Emmanuel Myamba ambaye mara nyingi amekuwa akiigiza kama Mchungaji na hivyo kujulikana zaidi kwa jina la Pastor Myamba  alifunga ndoa na mke wake Praxeda Kasela siku ya Jumamosi ya tarehe 2 August mwaka 2014 huko Zanzibar.







Pastor Emmanuel Myamba akiwa na mkewe Praxeda Kasela








Pastor Emmanuel Myamba akiwa na mkewe Praxeda Kasela








Pastor Emmanuel Myamba na mkewe Praxeda Kasela wakionyesha vyeti vya ndoa 






Pastor Emmanuel Myamba na mkewe Praxeda Kasela wakiwa wameshikilia Biblia






Pastor Emmanuel Myamba na mkewe Praxeda Kasela wakionyesha pete zao za ndoa









Pastor Emmanuel Myamba na mkewe Praxeda Kasela wakiwa na wasimamizi wao






Pastor Emmanuel Myamba na mkewe Praxeda Kasela pamoja na wasanii wenzake wa Bongo movie, Thea (wa kwanza kushoto) na zawadi (wa pili kulia)







Pastor Emmanuel Myamba na mkewe Praxeda Kasela wakionyesha zawadi waliyopewa na Kamati ya Harusi