Msanii wa wiki

Msanii wa wiki
Msanii wa wiki - Aunt Ezekiel

Tangazo

Tangazo 2

Tuesday, July 30, 2013

Afande Sele na familia yake

Afande Sele akiwa na mke wake Asha Msindi anayejulikana kama mama Tunda (kulia) na watoto wao Tunda (kushoto) mwenye umri wa miaka 10 na 'Asante sana" aliyebebwa.


Afande Sele akiwa na Wema Sepetu siku Wema Sepetu alipomtembelea nyumbani kwake maeneo ya Misufini mkoani Morogoro kumuona na kupeleka zawadi za mtoto wa afande Sele aliyekuwa amezaliwa na kupewa jina la Asante sana.

Monday, July 29, 2013

Mastaa wa Bongo na watoto wao - Bob Junior

Bob Junior akiwa na mwanae Rummy aliyezaliwa mwezi January 2013.


Bob Junior akiwa na mke wake na mtoto wao Rummy.


Bob Junior akiwa na mwanae Rummy.


Bob Junior akiwa na mke wake Halima na mtoto wao Rummy.


Bob Junior akiwa na mwanae Rummy.


Bob Junior na mwanae Rummy.

Harusi za wasanii wa Bongo - Banana Zorro








Banana Zorro akimlisha mke wake Suzy Walele kipande cha keki siku ya harusi yao mnamo mwezi wa kumi na mbili mwaka 2007.







Banana akimuimbia mke wake Suzy Walele siku ya harusi yao






Maharusi na wapambe wao wakiwa tayari kwa ajili ya cheers







Banana Zorro akikabidhi keki kwa wazazi wa mkewe Bwana na Bibi Walele.






Maharusi wakipata picha ya pamoja na ndugu jamaa na marafiki





Wednesday, July 24, 2013

Mastaa wa Bongo na watoto wao - Kajala Masanja

Msanii Kajala Masanja akiwa na Binti yake Paula aliyezaa na Producer P-Funk (Majani).


Kajala Masanja na Binti yake Paula


Kajala Masanja na binti yake Paula


 Paula akiwa na mama yake Kajala Masanja pamoja na wanafunzi wenzake


Paula akiwa na mama yake Kajala Masanja pamoja na wanafunzi wenzake


Paula akiwa na baba yake P-Funk (Majani)

Producer P-Funk na aliyekuwa mchumba wake Kajala Masanja wamtembelea Binti yao Paula shuleni katika siku yake ya kuzaliwa

P-Funk (Majani) akiwa na mzazi mwenzie Kajala Masanja na binti yao Paula siku ya Birthday yake walipomtembelea shuleni.



Wema Sepetu, P-Funk na Kajala

Wema Sepetu amfanyia Birthday party rafiki yake Kajala na B 12


Kajala Masanja siku ya Birthday yake iliyofanyika nyumbani kwa Wema Sepetu Kijitonyama


B12 na Kajala


Wema Sepetu (Madam) akiweka keki mezani tayari kwa kukatwa


Wema Sepetu, B 12 na Kajala Masanja wakiimba mwimbo wa Birthday


B 12 na Kajala Masanja wakikata keki zao


B 12 na Kajala Masanja wakijiandaa kumlisha keki Wema Sepetu


Wema Sepetu na Kajala Masanja


Kajala Masanja akimlisha keki Wema Sepetu





B12 nae akimlisha Wema Sepetu keki


Kajala akimlisha mwigizaji mwenzake Riyama Ali keki.


Riyama akimlisha Kajala keki





Wageni waalikwa, ndugu na jamaa kwenye sherehe hiyo


Keki Hizo...

Ndoa za wasanii wa Bongo - Jackline Pentezel (Jack wa Chuzi)



Msanii wa Bongo movies Jackline Pentezel (Jack wa Chuzi) akiwa na mume wake bwana Gadner Dibibi siku ya ndoa yao iliyofanyika mwezi March 2013 jijini Dar es salaam.



Jackline Pentezel (Jack wa Chuzi) akiwa na mume wake bwana Gadner Dibibi siku ya ndoa yao iliyofanyika mwezi March 2013 jijini Dar es salaam.


Msanii wa Bongo movies Jackline Pentezel (Jack wa Chuzi) akisaini cheti cha ndoa huku mume wake bwana Gadner Dibibi akiangalia.


Jacky akitunzwa fedha siku ya ndoa yake


Jackline Pentezel akiwa na wifi yake

Msanii wa miziki ya kizazi kipya Jackline Ntuyabaliwe (K Lynn) na Mkurugenzi wa makampuni ya IPP Bwana Reginald Mengi waonyesha rasmi watoto wao mapacha.


Msanii wa miziki ya bongo flava Jackline Ntuyabaliwe (K Lynn) akiwa na baba wa watoto wake mapacha mkurugenzi wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi siku ya ubatizo wa watoto wao Ryan na Jayden Mengi huko Machame Moshi. 


K Lynn akiwa na baba watoto wake Mzee Reginald Mengi

Harusi za wasanii wa Bongo - Susan Lewis (Natasha)




Aliyekuwa msanii wa kundi la maigizo la "Mambo Hayo" na pia muigizaji wa Bongo Movies Suzan Lewis au kwa jina la kisanii Natasha amefunga ndoa na Bwana Alex Humbila siku ya jumamosi ya tarehe 20 mwezi wa saba, 2013 katika kanisa la St. Joseph jijini Dar es salaam.


Suzan Lewis "Natasha" akiwa na matron wake













Sunday, July 21, 2013

Aliyekuwa msanii wa Kaole na Bongo movies MR BOMBA AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa msanii wa Kundi la sanaa la Kaole Mr. Bomba amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na kansa ya uvimbe wa kwenye ini kwa muda mrefu.
Msiba upo nyumbani kwake Buguruni Malapa jijini Dar es salaam.
Mwili wa marehemu Mr. Bomba unategemewa kuagwa kesho siku ya jumatatu nyumbani kwake Buguruni na kusafirishwa  kwenda kijijini kwao Mpwapwa Dodoma siku hiyo ya Jumatano kwa mazishi.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.

AMINA