Aliyekuwa msanii wa kundi la maigizo la "Mambo Hayo" na pia muigizaji wa Bongo Movies Suzan Lewis au kwa jina la kisanii Natasha amefunga ndoa na Bwana Alex Humbila siku ya jumamosi ya tarehe 20 mwezi wa saba, 2013 katika kanisa la St. Joseph jijini Dar es salaam.
Suzan Lewis "Natasha" akiwa na matron wake
No comments:
Post a Comment