Msanii wa wiki

Msanii wa wiki
Msanii wa wiki - Aunt Ezekiel

Tangazo

Tangazo 2

Sunday, July 21, 2013

Aliyekuwa msanii wa Kaole na Bongo movies MR BOMBA AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa msanii wa Kundi la sanaa la Kaole Mr. Bomba amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na kansa ya uvimbe wa kwenye ini kwa muda mrefu.
Msiba upo nyumbani kwake Buguruni Malapa jijini Dar es salaam.
Mwili wa marehemu Mr. Bomba unategemewa kuagwa kesho siku ya jumatatu nyumbani kwake Buguruni na kusafirishwa  kwenda kijijini kwao Mpwapwa Dodoma siku hiyo ya Jumatano kwa mazishi.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.

AMINA

No comments:

Post a Comment