Msanii wa wiki

Msanii wa wiki
Msanii wa wiki - Aunt Ezekiel

Tangazo

Tangazo 2

Sunday, July 7, 2013

Harusi za wasanii wa Bongo - Flora Mvungi na H. Baba


Msanii wa Bongo movies Flora Mvungi akiwa na mume wake Hamis Ramadhan a.k.a H. Baba ambaye ni msanii wa Bongo flava siku ya ndoa yao tarehe 8 June, 2013.




Msanii wa Bongo flava akisaini cheti cha ndoa huku mke wake Flora Mvungi ambaye ni msanii wa bongo movies akimuangalia.




Flora Mvungi naye akisaini cheti cha ndoa




Flora Mvungi akimnywesha mumewe H. Baba kinywaji siku ya ndoa yao.




Flora Mvungi akimlisha mumewe H. Baba tunda la apple siku ya send off yake.




Flora na mume wake H. Baba siku ya send off yake




Flora siku ya send off yake akikata keki




Flora Mvungi akiwa na mpambe wake Nisha


No comments:

Post a Comment