Msanii wa wiki

Msanii wa wiki
Msanii wa wiki - Aunt Ezekiel

Tangazo

Tangazo 2

Sunday, July 7, 2013

Dida wa Times FM afunga ndoa na mtangazaji mwenzake


Mtangazaji wa Times FM na aliyekuwa muigizaji wa kundi la Kaole Dida Shaibu afunga ndoa na mtangazaji mwenzie Ezden Jumanne anayejulikana kama Ezden the Rocka





Maharusi wakiwa na wazazi wao.


Dida Shaibu akiwa na mume wake Ezden Jumanne

No comments:

Post a Comment