Msanii wa miziki ya bongo flava Jackline Ntuyabaliwe (K Lynn) akiwa na baba wa watoto wake mapacha mkurugenzi wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi siku ya ubatizo wa watoto wao Ryan na Jayden Mengi huko Machame Moshi.
K Lynn akiwa na baba watoto wake Mzee Reginald Mengi
No comments:
Post a Comment